Monday, 13 October 2014

. Grafenberg Spot a.k.a G-Spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe ambacho kipo ndani ya Uke,kwenye upande wa juu inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani.Wakati mwanamke anapozidi kupata hamu ya kupata raha na utamu,kuna tissue ambayo ipo karibu naimezunguka urethra,inakuwa engorged with blood,na kusababisha Skenes glands zitengeneze Prostatic Fluid na kufanya hicho kiharagwe...
Profesa Mazuri alisifika sana kwa kuangazia tamaduni za kifarika kwa dunia nzima Msomi mashuhuri wa Kenya,Profesa Ali Mazrui ameaga dunia nchini Marekani. Mazrui alikuwa msomi wa maswala ya kisiasa, utamaduni wa kiafrika na maswala ya dini ya kiisilamu. Mazrui aliyekuwa na umri wa miaka 81 alifariki nchini Marekani ambako amekuwa akiishi baada ya kuugua kwa mda mrefu. Duru zinasema kuwa Profesa...
...
LEO NILIKUWA UGANDA NA NINAOMBA NIKUPEKULIE NILICHOKUTANA NACHO HUKO....Katika pita pita zangu nimekutana na picha za utupu za msanii maarufu nchini humo Brenda Nambi ambazo kwa Uganda ndo habari ya mjini kwa sasa..... Brenda kwa Bongo ni kama Madam Wema Sepetu, nadhani unaweza pata picha sasa! <<PICHA YA KWANZA>> <<PICHA YA PILI>> <<PICHA...
Kiungo wa AC Milan, Michael Essien amezushiwa kuwa ameambukizwa virusi vya ugonjwa hatari wa ebola. Hali hiyo imetokana na yeye kuachwa kwenye kikosi cha timu yake ya taifa ya Ghana, Black Star ambacho kilicheza mechi ya mwisho ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika na kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Guinea. Hivyo habari zikazagaa kwenye mitandao mbalimbali ikiwemo ya kijamii,...
Her name is Doreen Komuhangi,she is a sexy media personality at a leading media company in Uganda and she has confessed her love for president Uhuru Kenyatta.Check  out her beautiful pics below; Add caption ...
Mwanafunzi wa shule ya msingi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka saba, ameuawa kikatili baada ya kubakwa, kuchinjwa na kunyofolewa sehemu zake za siri.Mwanafunzi huyo wa darasa la kwanza (jina linahifadhiwa), mwili wake ulikutwa umetupwa kwenye shamba karibu na nyumbani kwao jana maeneo ya Mbezi Temboni, kata ya Saranga. Akisimulia tukio hilo, mama wa mtoto huyo (jina linahifadhiwa),...
Adabu ishike mkondo wake! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose amejikuta akichezea kichapo ‘hevi’ kilichomsababishia kuvunjika pua kwa tuhuma ya ukuwadi wa mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lilikuwepo eneo la tukio. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose akivuja damu baada ya kipigo. Msala huo wa aina yake ambao ulivuta umati mkubwa ulijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Makumbusho jijini...
Hayati Julius Kambarage Nyerere Wananchi wa Tanzania leo wanaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa Rais wa kwanza na Baba wa Taifa hilo marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu alifariki nchini Uingereza alikokuwa amaelazwa kwa kusumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. Na kuzikwa katika kijijini cha Mwitongo Butiama Kaskazini mwa Tanzania ambapo alizikwa Kiongozi huyo...
View comments Islamic State militants claim the capture, enslavement and sale of thousands of Yazidi women and children had been ordered by God in a magazine purportedly published by the terror group. The latest issue of Dabiq was released yesterday and attempts to justify the militants' snaring of thousands of innocent Yazidis during an assault on the Iraqi city of Sinjar...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com