Waimbaji Jux na Vanessa Mdee tayari mpaka sasa wameshachukua nafasi kwa kiasi chake kwenye headlines za stori za mastaa wa bongo mwaka huu na hii ni kutokana na wawili hawa kuonekana pamoja sehemu kadhaa.
Kama unataka kuziona dakika zao chache baada ya kukutwa na camera ya AyoTV weekend iliyopita unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini…
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia...
Saturday, 18 October 2014


Sina Rambo ni mshkaji wa long time wa Davido.
Pale ambapo unakutanishwa na miongoni mwa mastaa wanaofanya vizuri kwenye list ya hits za Afrika kwa sasa…….. pale ambapo pia unapewa ruhusa ya kuona akifanya yake kwa zaidi ya dakika 20 mbele ya macho yako.
Mussa Mateja mwandishi wa Global Publishers akiwa na Davido.
...


.
Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini Dar es Salaam ambapo millardayo.com na AyoTV October 15 2014 ilipata nafasi ya kutembelea daraja hili.
.
Mama mmoja ambae anafanya biashara ya kuwauzia chakula Mafundi wa daraja hili amesema amekua akishuhudia...


Tunajua rapper T.I kutoka Marekani ni mmoja wa wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Fiesta linalofanyika leo viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam likiwa na wakali wengine kama Diamond, Ommy Dimpoz, Nay wa Mitego, Waje, Stamina, Mwana FA, Victoria Kimani, Linah naVanessa Mdee.
Gari lililombeba T.I kutokea Airport
Utakuwepo leo Fiesta mtu...



.
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi tuvitumiavyo. Zamani haikuwa rahisi hata kuipata gari yenye hata Televisheni moja lakini hivi sasa mambo si kama enzi za zama za kale. Hivi sasa tunapata kujionea kewenye magari ya kampuni ya RATCO ya mabasi yaendayo Tanga wameleta mabasi yenye...



Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujao
Baadhi ya wasanii kutoka mataifa mbalimbali ambao watapanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta leo
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea...
Subscribe to:
Posts (Atom)