Saturday, 21 February 2015

Marekani na Uingereza zinaiba taarifa kutoka kwa simu yako Majasusi wa Uingereza na Marekani walikiuka sheria na kudakua kampuni inayotengeneza kifaa kinachotumika kwa simu za mkononi yaani ''Sim Card''Tovuti moja ya habari za teknolojia imeripoti huko Marekani. Kwa mujibu wa ripoti hiyo Majasusi hao waliiba mfumo na data inayowaruhusu kusikiza mawasiliano mbali na kujua alipo mmiliki wa...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com