Monday, 1 September 2014

Ndege iliyopotea mapema leo ikitokea Mwanza kuelekea Magadi nchini Kenya, imepatikana huko eneo la Serengeti Mara, na abiria wote watatu wamek...
Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwa ajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu. Inasemekana watuhumiwa hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkia leo. USAJILI ULAYA: KIUNGO WA CHELSEA VAN GIKEL AMFUATA TORRES AC MILAN. INGIA HAPA! Endelea...
Vijana watatu wavunja duka na kuiba vitu vyote vya duka. Katika tukio hilo lililotokea maeneo ya Mbagara Kipati,  vijana hao waliweza kukamatwa na raia wema kisha na kuanza kuwapiga jambo ambalo lilipelekea vijana wawili kati yao kupoteza maisha kabisa, huku kijana mmoja akiwa yuko hoi kama unavyo muona kwenye picha...
Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio.Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara.  SAD NEWS! MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO MOROGORO!. BONYEZA HAPA! (PICHA/STORI NA:MICHAEL...
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,.... Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue......
BOFYA HAPA KUZIONA NI AIBU MAMAAAA!!!..+ 18 WAKUBWA TU COLETA AACHIA PICHA CHAFU MTANDAONI BOFYA HAPA CHINI KUTIZAM...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com