
Ukizungumzia mashujaa wa nchini Afrika Kusini hutaacha kumtaja Tata Nelson Mandela, ni kweli ila yupo huyu alikuwa anaitwa Sarah Bhartman, kama ulikuwa humjui leo blog hii inakufichulia.
Sarah alizaliwa mwaka 1789, huko Afrika kusini na kufariki mwaka 1815 huko jijini paris Ufaransa akiwa na umri wa miaka 26.
Sara alikuwa anatoka kabila la khoisan na alikuwa amejaliwa kuwa na umbo la...