
Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend) ana uraia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m katika muda wadk 10.05 katika tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.
Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.
Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa...