Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza.
Polisi wakiwa eneo la tukio.
Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria, Super Najmnisa na Princess Mnaa huku mengine yakiwa...
Tuesday, 16 December 2014


Stori: Andrew Carlos
DEREVA bodaboda mmoja aliyefahamika kwa jina la Seleman amedaiwa kumchoma visu mwilini dereva mwenzake wa aliyefahamika kwa jina la Panya Road na kumsababishia kifo.
Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Seleman (mwenye flana) akimshambulia kwa visu mwilini dereva mwenzake anayefahamika kwa jina la Panya Road.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha...


Mwakilishi wa Miss World 2014 ametulita pamoja kama nchi kwenye kumpa ushirikiano katika kupiga kura ili ashinde peoples choice awards na kuingia kwenye top ten ya miss world. Ingawa hatukufanikiwa kumweka namba moja Happy ameonekana mtu mwenye kujiamini na kujituma sana. Hizi ni picha zake kwenye show ya Miss World na ujumbe wake baada ya show kuisha.
Kutoka Instagram yake Happy ameandika...


Mmiliki wa Cash Money Birdman amesema hakuna kuondoka kwa Lil Wayne kwenye lebel yake ya Young Money.
Tmz imepata taarifa kutoka kwa watu wa karibu ni Birdman kuwa Jamaa alichukizwa sana na kauli ya Lil Wayne kwenye twitter kuwa “Anajiskia kama mfungwa na kwamba album yake ya Carter V inazuiliwa kutoka” .
Ukizingatia mikataba mikali wanayokuwa nayo Young Money, Birdman ameweka jambo hili wazi...


.
P Unit ni kundi kutokea (254) Kenya ambalo limeweza kudumu kwa miaka kadhaa sasa time hii wamekuletea hii video mpya ya single yao ‘Weka Weka’
Itazame hapa
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza ...


Hii imekuwa ni dili kumbe? Tena ya pesa ya kutosha iwapo unaifanikisha.
Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu mashuhuri, mfano ‘Long Walk to Freedom’ aliyoicheza actor Idris Elba akiigiza kama Hayati Nelson Mandela, ‘White House Down’ ambayo Jammie Fox amecheza kama Rais wa Marekani sasa kwa wale wapenzi wa movie hakika hii ni njema kwao.
Una...



JOSHUA NASSRI
KAULI YA JOSHUA NASSARI HII HAPA
Joshua Nassari
Diwani wa kata ya Maji ya Chai Ndg Loti Nnko ameanguka baada ya kushindwa uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare alichogombea mwenyewe kwenye kata yake ya Maji ya Chai. Tumeshinda vijiji vyote 7 kwenye kata hii.Sasa Diwani unashindwa hata uenyekiti...


BY LIZ NJUGUNA • DECEMBER 16, 2014 • CELEBS & ENTERTAINMENT, FEATURED • COMMENTS (0) • 192
Artists love to have some fun at the expense of their fellow artists and although it might create enmity between the two talents, it is definitely entertainment at its best.
Now the latest celebrity to start up a feud is rapper Kenrazy……well technically it’s not a feud but sort of a ‘let’s make fun of Willy Paul’ kind of situation. Kenrazy released a video...
Subscribe to:
Posts (Atom)