Saturday, 13 September 2014

...
KING Mswati Mfalme wa Swaziland amefikisha wake kumi na nne 14 baada ya juzi jumatatu kumchagua mke mwingine mwenye umri wa miaka 19 masharti ya mwanamke anaetakiwa kuchaguliwa ni sharti awe bikra.Takribani wasichana 80,000 walipita mbele ya wageni wa heshima 46 ambapo na mfalme alikuwa ameketi mbele akiwa kaketi na malkia aliechaguliwa mwaka jana LaFogiyane Baadhi ya wasichana wanakimbia...
...
A combined team of the Zambia and Tanzanian police officers picking dead bodies of 7 men suspected to be Tanzanians found dumped in a bush in Yolo Village, 500 metres from the Tanzanian / Zambia border on Friday last week. Picture by Jonathan Mukuka Mr. Kapeso said all the 7 bodies were claimed last night around 23:00 hours and taken back to Tanzania.He said police at Nakonde have...
...
...
...
STORY YA PICHA HIZI. BOFYA HAPA ...
...
http://www.dailymotion.com/video/x25ubxz_dbgtl_mu...
MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita pita katika kurasa za marafiki zangu huko katika uso wa kitabu ‘Facebook nikakutana na nasaha ya ndugu yangu Victory Richard, juu ya kuwasihi wanawake kwamba sasa wavae nguo....
...
Hali ya mitindo ya mavazi kwa dada hapa nchini kwa sasa imekuwa gumzo kutokana na baadhi yao kutumia vibaya uhuru tulio nao,kwa sasa kuvaa nguo fupi na kutembea barabarani ni kitu cha kawaida.kutokana na hali hiyo dada zetu wa vyuo mbalimbali nchini wamekuwa wakivaa mavazi hayo na kupiganayo picha, ambapo kitu hicho kimekuwa kikiwaharibia sifa zao kwa...
Ajali mbaya imetokea leo alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam. Ajali hiyo imesababisha dereva kupoteza maisha na kuacha vipande vya ubongo vikining'inia katika moa ya mdaraja hayo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili T220ABL kugonga na kisha kuingia kwenye ukingo...
...
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA HIZO PICHA,ANGALIZO KAMA WEWE NI MTOTO USIBOFYE PICHA PITA PEMBENI <<PICHA 1....BOFYA HAPA>> <<PICHA 2....BOFYA HAPA>> You might also like: ...
Baba mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Kaga mkazi wa Mwanga Kisangani ''B'' jirani na Saigoni amemuua mpenzi wake kwa kumnyonga na kumtumpa katika makorongo ya Kilimahewa ''B'' Chini ya Shule ya Msingi Kilimahewa. Taarifa za awali zinasema kulikuwa na ugomvi baina yao hao wapenzi wawili hali iliyopelekea mwanamke (Mama Koku) kumshtaki mwanaume mahakamani na kusababisha Mwanaume kufungwa...
MFANYABIASHARA maarufu nchini Nigeria amefariki dunia mara baada ya kubakwa na wake zake watano kati ya sita anaowamiliki. Hiyo ni kwa mujibu wa gazeti la Dail Mail. Awali Kabla ya kurejea nyumbani kwake inatajwa kuwa Uroko Onoja alikuwa akipata ulabu wake (pombe) katika baa moja huko Ugbugbu katika jiji la Benue hadi mida ya majogoo.Tajiri huyo mfanyabiashara aliporejea nyumbani kwake huku akiwa...
PICHA YA 1 PICHA YA 2 ...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com