Tuesday, 13 January 2015

...
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namb...
Inauma sana kuona kijana mwenzetu yupo katika hali hii...Huyu ni msanii mkubwa na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei... Sababu ya kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu kazi ya taifa..#Daz ni...
      Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndani ya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi, Pia walifanikiwa kukuta jacket proof...
Home where CORD leader, Raila Odinga’s family was waiting for Fidel Odinga’s post-mortem results....
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com