
Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ limelaani vikali askari wake kikosi cha kiteule cha nyandoto 27 KJ makoko ambaye anadaiwa kushindwa kutii maelekezo ya askari polisi wa Usalama Barabarani wilayani Tarime na kusabisha fujo na vurugu kubwa huku polisi wakitumia risasi za moto kudhibiti hali hiyo.Akitoa tamko hilo jeshi la wananchi wa Tanzania mbele ya waandishi wa habari mjini Musoma, mkuu...