Muonekano wa nje wa ndege ya Rais wa Marekani, Barack Obama - Air Force One
Maafisa wanaomlinda rais wakiongea jambo ndani ya ndege hiyo.
Barack Obama akiongea na wafanyakazi wake ndani ya ndege.
SIFA KUBWA:Ndani ya ndege hiyo kuna ofisi ya rais, jiko, chumba cha mikutano, bafu, sehemu ya kuvalia nguo, eneo la kufanyia mazoezi ‘gym’ na chumba cha mawasiliano....
Saturday, 1 November 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)