
KUNRADHI KWA PICHA HIZI. MATUKIO HAYA YANAZUILIKA, KWANINI WATAWALA WANAPENDA KUMWAGA DAMU?
Tazama unyama wa Polisi!
Na Daniel Mbega
KICHWA cha habari kilichonivutia ni ‘Kova aongeza idadi ya ‘tume’ D’Salaam’ ambacho kipo kwenye gazeti la Mwananchi toleo la Jumatano, Septemba 3, 2014.
Habari hii imefuatia hatua iliyofanywa na Kamanda wa Polisi wa...