Kuna Nesi mmoja amegudulika kuwa na ugonjwa wa Ebola baada ya kuwahudumia Wamishionari wawili waliokua na ugonjwa huo baada ya kutoka nao Sierra Leone walikokua wamekwenda kujitolea kufanya kazi.
Ugonjwa wa Ebola imekua ishu kubwa kwenye hizi nchi maarufu duniani ambazo zimejikuta zikiingia kwenye headlines baada ya Wagonjwa kuanza kugundulika ambapo Marekani kuna mmoja aliingia na Ebola kutokea...
Tuesday, 7 October 2014



Mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu maarufu nchini amejikuta akiumalizia mwaka vibaya baada ya picha zake chafu kuvuja....
Katika picha hizo, mwanafunzi huyo anaonekana kujiachia uchi sakafuni huku wenzake wakimshangilia ndani ya chumba cha hosteli chao....
Picha si nzuri....una hiari ya kuziangalia au kutoziangalia. Kikubwa hapa kilikuwa ni kufikisha ujumbe kwa dada zetu ikiwa...


.jpg)
Kungu Masanja akiwa ndani ya gari la polisi
Wakazi wa kijiji cha Chibe kata ya Chibe katika manispaa ya Shinyanga wamepigwa butwaa baada ya mjumbe wa serikali ya kijiji hicho Kungu Masanja kukamatwa na askari polisi akiwa ameshikilia bango katika mbio za Mwenge wa Uhuru katika kijiji cha Chibe.Kungu Masanja ambaye pia ni katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kijiji...
Subscribe to:
Posts (Atom)