...
Saturday, 6 September 2014



Ripota wa TZA Kenya Julius Kepkoich anatiririka kwamba Uhuru Kenyatta ametajwa kama rais anayejitokeza kwa njia ya kipekee toka Kenya ianze kutawaliwa akiwa pia ni rais wa kwanza kenya kumiliki kiti kilichowahi kukaliwa na baba yake.Tangu kutwaa madaraka Kenyatta amekua akifanya mambo yasiyo ya kawaida kwa Rais yeyote hasa hapa Afrika yeye ametajwa kua anatumia sana mitandao ya kijamii...


Mwili wa kijana huyo ukiwa katika gari la polisi kupelekwa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
KIJANA anayesadikiwa kuwa kibaka na ambaye hajafahamika jina lake, leo asubuhi amechomwa moto hadi kufa akidaiwa kuiba baiskeli maeneo ya Nane Nane mjini Morogoro, jirani na shule ya Sekondari ya Alfa James ambayo ni maarufu kama Shule ya Father Pekupeku.
”Majira ya saa moja asubuhi...



Baadhi ya Taswira za Zoezi la Medani la Operesheni Maliza Matata ambalo limeshirikisha mamia ya wapiganaji na maofisa ambako zimetumika silaha za moto kwa njia ya ndege za kivita, vifaru, makombora na risasi kwenye Sherehe za Miaka 50 ya JWTZ kwenye eneo la Langururusu, Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha.
Madhara ya shambulio hilo la mazoezi
...



Ni shida Hapa Mjini kwa Wadada , Kila Mdada anataka Awe na Mkia as ndo kitu kina kiki hapa Town, Inafikia Wengine wanaamua kutafuta Makalio Fake kwa Njia yoyote ile Kama kumeza dawa za mchina ama kuvaa vigodoro..Wadada Jamani Taratibu Siku hizi Wanaume hata hatujui lipi Fake lipi Original...
...
Subscribe to:
Posts (Atom)