
Ni habari ya kusikitisha sana kupata taarifa hizi kwa kila mwenye moyo wa binadamu. Mtoto huyu ambaye alioneshwa akiteswa na house girl katika video iliyorekodiwa kwa siri na camera iliyotegeshwa sebuleni amefariki dunia. Mtoto alivunjika mbavu kutokana na kukanyagwa sehemu ya mbavu zake. Hivi leo tu tulipost video inaonesha jinsi ambayo mtoto huyu alikuwa akilazimishwa kula wakati...