Huku kwetu tuna utaratibu wa kuwapa watoto wetu majina tunayopenda, yapo majina ya watu maarufu kama viongozi, wanasoka, waigizaji na wengineo.
Kuna hizi nchi ambacho wao wamepiga marufuku baadhi ya majina kupewa watoto, list ni hii hapa.
New Zealand: Msajili wa Vizazi, Vifo na Ndoa nchi hii ameagiza baadhi ya majina kupigwa marufuku ikiwemo majina haya;Majesty, Queen Victoria, Lucifer na...
Saturday, 31 January 2015


Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.
Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo jana January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)