Monday, 13 October 2014


Katika hali isiyokuwa ya kawaida vitendo vya madirectors wengi wa filamu kupenda kuwarubuni wasanii wachanga kuwa kama watatoa uroda basi watapewa nafasi ya kucheza filamu na kuwa mastaa wakubwa imemtokea puania msanii na director maarufu wa bongo movie Edward Nicas Temu maarufu kwa jina la Nicas baada ya kufumaniwa na mchumba wa mtu ambae ni msanii wa kundi lake.

Jina la Nicas ni jina maarufa sana hasa kwa wasanii kufutia huyu mshikaji kuwa kwenye sanaa kitambo akiwa kama msanii na director lakini kipindi kirefu amekuwa akifanya kazi za watu lakini siku za hivi karibuni alianzisha kundi lake huko maeneo ya Kinondoni Moscow na kukusanya makumi ya wasichana kwa ajili ya kucheza filamu zake. 

Hata hivyo kutokana na wakidada wengi hasa Underground kupenda kuigiza lakini walikuwa wanakosa nafasi hivyo baada ya kusikia matangazo ya msanii huyo basi alijikusanyia warembo wa kila aina na alifanyiwa kuwachezesha filamu zake tatu Bad Father,The Reason,House Girl N Boss. 

Habari zaidi zilisema kuwa baada ya kumaliza kuwachezesha filamu hizo msanii huyo alianza kumuweka karibu mmoja wa wasanii wake wake ambae ni mke wa mtu anaeishi na mumewe maeneo ya Kawe Jijini Dar. 


Kijana mwenye mke aliyevaa tisheti nyekundu mara baada ya kuvamia chumbani na kumkuta mkewe akiliwa uroda na muongozaji filamu,msanii maarufu wa bongo movie aliyefahamika kwa jina la NICAS. 





Mume akionesha chupi ya mkewe











Msanii chipukizi wa filamu ambae ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Remina Rufyagira" Mwimbe" akificha sura yake kukwepa kamera za mapapalazi.




NAUA: Kijana mwenye mke kushoto akimkaba koo director huyo kwenye purukushani ya fumanizi hilo.






Hapa ofisa wa polisi ambae ilidaiwa toka kitio cha polisi Hananasifu kilichopo Kinondoni akimsimamia msanii huyo kuvaa nguo safari ya kuelekea kituoni.







Mwimbe akiwa haamini kilichotokea huku machozi yakimtoka kwa wingi na kujuta.









Kulia kijana ambae ilidaiwa ni shemeji na Mwimbe akimuuliza maswali shemejie huyo.









NICAS na Mke huyo wa mtu wakielekea kituno huku nyuma wananchi walioshuhudia tukio hilo.



Mwenye mke aliyefahamika kwa jina la Abdula Sanga akiongea na simu kuwajuza familia ya mchumbaake kuhusu tukio hilo.



Mfuko wa kondom uliokutwa umetumiaka .


Akiongea na paparazi wetu mume wa mischana huyo Abdula Sanga alianza kuelezea "Nampenda sana mke wangu na ndio maana nilikuwa nimemruhusu akafanye sanaa lakini baadae niliambiwa na shoga yake kuwa kuwa bosi wake anataka kumla uroda ili amuweke kwenye kava ya cd ya filamu yake na kama hatotoa uroda basi hatomuweka" Alisema kijana huyo ambae ni mfanyabishara.

Abdula Sanga aliendelea kusema baada ya hapo alimuomba huyo rafiki na mkewe ampe ushirikiano ikiwa kumuhabarisha hatua kwa hatua ambapo hadi siku ya tukio alitaarifiwa na wapi wanapokwenda kupeana uroda" Niliandaa askari wangu na tukaweka mtego pale Guest iitwayo Bundo iliyopo Kinondoni Moscow na hatimae mtegowangu ulinasa na kumfuania mke wangu live akiwa na huyo bosi wake wa sanaa" Alisema Sanga kwa jazba.

Aidha habari zilisema Nicas nae ni mume wa mtu, hata hivyo ndani ya chumba hichokulikutwa na kondomu moja iliyotumika kwa maana kwamba tayari mke huyo alikuwa ameshaliwa kimoja hali iliyoamsha hasira za mume wa mke huyo na kuanza kumvurumushia makonde msanii huyo hadi polisi walipoingilia kati.

Hadi papalazi wetu anaondoka eneo la tukio aliacha wananchi kibao wakishuhudia timbwili hilo huku safari ya kuelekea polisi ikifanyika.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com