
WANANCHI wengi wanaamini hizi ndizo picha ambazo zinawagusa kuliko picha zozote zile za Rais Dkt. Jakaya Kikwete ambazo amewahi kupiga katika uongozi wake kwani ni picha ambazo zinaguza moja kwa moja maisha na matatizo mbalimbali ya watu katika jamii anayoiongoza. Rais Kikwete akiongea na mlemavu mmoja, Jijini Mwanza.
Rais Kikwete akiongea na bibi mmoja, Mkoani pwani. Rais...