Thursday, 28 August 2014

PICHA ZAIDI ZA SEND OFF YA AUNTY EZEKIEL PAMOJA NA SHEREHE YAKE YA BIRTHDAY...!!! Jestina George 10 Friday, November 02, 2012 A+ A- Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana. Chezea mke wa Sunday aka Bongo celebrity!!! Wapambe wakiwa wamejipanga tayari kwa kumpokea huku Bibi Harusi akiwa anaingia ukumbini. Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake Yaelekea Aunty anahamia huko kwa mumewe manaa hii cake ina message yakumuaga. Aunt Ezekiel alifanya Send off yake ndani ya Serena Hotel iliyoambatana na sherehe ya kuzaliwa kwake wasanii wengi wa Bongo Movie walikusanyika kumsapoti ndugu yao huyo, kwa hiyo wale wakwale wanaopenda kudoea vya watu wafyate mikia yao kwani sasa Aunt ni mke wa Sunday anayeishi mjini Dubai itakapofanyika rececption yao. Aunty akienda kukabidhi keki kwa wazazi Heshima mtindo mmoja! Chezea mama wewe!!! Wapambe walipendezajeee Mashosti Wema na Jack Wolper full kutokeleza Msanii Cloud akiwa na Bibi Harusi Aunty katika picha ya pamoja Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy Maya na Chuchu Hans kati Odama na smile ya ukwee Mr na Mrs Cloud............... Ray na kijana wake wakiwakilisha Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa ambayo ilikuwa ni siku moja na send off yake. Wema na Manger wake Martin Kadinda wakiandaa ndafu kwaajili ya kusherekea siku ya kuzaliwa Aunty Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea! Wema aliwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu.... Cloud aliwaakilisha wanaume wa Bongo Movie..... Wapambe walipendezajeeee Aunty akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula hapa na kivazi kingine cha ukwee! kapendezajeee Mambo yakipamba moto.. mambo ya burudani kwa kwenda mbele Wolper & Wema wakionyehsa umahiri waoooo Recho Saguda nae wamooo Burudani ikiendelea.. Maya hayuko nyuma naye... Mainda mpaka chini full kumwaga maraha JB nae kati Batuli akitoa show.... Ray kama kawa show stopper Steven Nyerere akifanya vitu vyake The Greatest nikiwa na Da Natasha katikati na JB mwenyekiti wa Bongo movie... Props to Ray the Greatest

 Ms. Wedding (Aunt) as the ones she arrived in the venue for a very big fanfare. Sunday played the wife of a celebrity !!! aka Bongo   Signaling lined up ready to receive the Bride's here as he entered  the courtyard. Ms. Wedding ready as he reaches his special section prepared for him while he kazungukwa and its signaling  Likely Aunty He moved there for...
Old woman, 62-year-old Rachel deer resident of the village of shapes in the Shinyanga district council was killed by cutting the neck by a suspect known only by the name of Mr Peter misusing his having .Chanzo three of the killings are superstitious myths.  The commander of the police force in Shinyanga Justus Kamugisha Calls for residents of Shinyanga combat acts of murder of the...
Bongofleva music has done very revolutionary at the beginning of year 2000 until now, the following are the best songs with a message bongofleva that you should not stop hearing ... 1 World Way,  this songs was sung by ×Bushoke is one of the songs with a strong message entirely, you listening describes life in general, life after death and the layers contained...
Recently × student known by the name of Jacky reads × College of Accountancy - ARUSHA has publicly stripped after his picture (above) distributed on different networks and her boyfriend after a jealous brother happens to him,     Gossip of the town have zinyaka these pictures and news from one of the people close to the couple and kunyetisha that the brother did...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com