Saturday, 17 January 2015

Mwanamke mmoja Hawa Kundani akiwa ameongozana na mtangazaji Joyce Kiria, amezua taharuki kwenye kikao cha Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, baada ya kuvamia na kulalamika kwamba ametelekezwa na mumewe ambaye ni Mbunge wa Dimani Zanzibar, Abdallah Sharia Ameir wakati huo walikuwa wakijadiliana suala la Mahakama ya Kadhi, kikao kilichokuwa kikifanyika katika...
Ongwen kulia Mwendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati anasema kuwa kamanda wa cheo cha juu wa kundi la Lord's Resistance Army LRA nchini Uganda amekabidhiwa wawakilishi wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC. Mwendesha mashtaka huyo alisema kuwa Dominic Ongwen anayeshutumiwa kwa kuendesha uhalifu dhidi ya binadamu atasafirishwa kwenda mjini Hague hii leo. Ongwen alichukuliwa...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com