
Jana Bunju B iliingia katika News Kila Kona Kwa matukio Mawili kutokea Ambayo yalivuta mkusanyiko wa watu na minongono kila kona , Baada ya lile tukio la Gari aina ya Land Cruiser VX kuchomwa Moto na Wananchi baada ya kusababisha ajali na Kuuwa watu watatu walio kuwa kwenye Boda Boda , Jioni yake Palitokea tukio la Ajabu ambapo Watu wawili Mwanaume na Mwanamke walio kuwa wakifanya mapenzi gesti...