Monday 1 September 2014

Ndege iliyopotea mapema leo ikitokea Mwanza kuelekea Magadi nchini Kenya, imepatikana huko eneo la Serengeti Mara, na abiria wote watatu wamekufa

Maafisa wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika kwa ajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu. Inasemekana watuhumiwa hao walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkia leo.
Endelea kufatilia mtandao huu na muda si mrefu tutawaletea taarifa kamili.


Vijana watatu wavunja duka na kuiba vitu vyote vya duka. Katika tukio hilo lililotokea maeneo ya Mbagara Kipati, 

vijana hao waliweza kukamatwa na raia wema kisha na kuanza kuwapiga jambo ambalo lilipelekea vijana wawili kati yao kupoteza maisha kabisa, huku kijana mmoja akiwa yuko hoi kama unavyo muona kwenye picha.

Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio.Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara. 
SAD NEWS! MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO MOROGORO!. BONYEZA HAPA! (PICHA/STORI NA:MICHAEL MSOMBE WHATSAPP +255 712 919 142)
Ajali ya gari dogo imetokea jana majira ya saa 10  za jioni katika maeneo ya Tazara jijini Dar es salaam. Dereva wa gari hili (Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN) aliruka mapema kabla ya tukio kutokea na alikuwa peke yake.Kwa mujibu wa mashuhuda ni kwamba, dereva alipoteza muelekeo ktk kulikwepa gari aina ya fuso lililokuwa kando ya barabara.Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
UPDATES ZA USAJILI ULAYA: BEKI MWENYE NGUVU WA MAN  CITY AENDA ITALIA. BONYEZA HAPA!
NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,....




Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue... Hali hii imewafanya wasanii wengi wa kike wawe na umaarufu wa skendo chafu.... Miongoni mwa skendo hizo ni:

 

1.Kupiga picha za uchiHili ni kundi la wasanii chipukizi wanaosaka umaarufu kwa gharama yoyote....Ni skendo ambayo huwachafua sana, lakini pia ni skendo ambayo huwainua na kuwafanya wajulikane.... Mfano halisi wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo wa Maisha plus Pendo Moshi 

2.Kutumia madawa ya kulevyaHili ni kundi la wasanii ambao hutumia madawa ya kulevya na kisha hukimbilia katika vyombo vya habari na kujitangaza kwamba ni wavuta bangi na kwamba "hivi sasa wameacha"

3.Kuvaa nusu uchiHili ni kundi lenye wasanii wengi sana.Hawa ni wasanii wenye imani ya kuwa mastaa kwa kuvaa nusu uchi huku mapaja na matiti yao yakiwa wazi ... Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote tunawajua. 

4.Kutovaa chupi na kujipitisha mbele ya kamera Hili ni kundi la wasanii wachache ambao umaarufu wao umekwisha.Ili kujiinua tena kwa jamii, wasanii hawa hutumia skendo nzito kama hizi ambazo huifanya jamii istuke..!...Mfano halisi ni Nakaaya.


BOFYA HAPA KUZIONA NI AIBU

MAMAAAA!!!..+ 18 WAKUBWA TU COLETA AACHIA PICHA CHAFU MTANDAONI BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com