Friday 5 September 2014



BREAKING NEWS::AJALI MBAYA YATOKEA MUSOMA ZAIDI YA WATU 30 WAMEFARIKI DUNIA


 Mabasi hayo yakiwa yamegongana 







Basi la Jumanne lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma.  
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com