Saturday 11 October 2014












Picha za ajali ya basi alilokuwa akisafiria msanii wa Bongo Flava, Baba Levo, kugongana na Coaster jana October 10 2014. Takriban watu wanne wamefariki kwenye ajali hiyo na wengine kadhaa, akiwemo Baba Levo, wamejeruhiwa. Basi hilo lilikuwa likitokea Tabora kuelekea Mpanda. Baada ya picha, sikiliza Baba Levo akielezea ajali hiyo ilivyotokea wakati akifanya mahojiano kwa njia ya simu. baba levo 0 Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki 

baba levo 1 Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki
Baba Levo akiwa anajisikilizia baada ya ajali
baba levo ajali basi Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki
Basi alilokuwa anasafiria Baba Levo, ambapo msanii huyo ni abiria pekee aliejeruhiwa, wengine wote walitoka salama
baba levo2 Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki
Basi dogo la Coaster lililohusika kwenye ajali hiyo. Watu waliofariki wanasadikiwa kuwa walikua abiria wa gari hili
baba levo ajali basi coaster Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki
baba levo 0 Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki
baba levo 2 Picha za ajali ya basi aliyopata msanii Baba Levo, na watu kadhaa kufariki

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com