Tuesday 13 January 2015
















Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba
http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xaf1/t51.2885-15/10890670_1557124857900778_1233432370_n.jpg

Inauma sana kuona kijana mwenzetu yupo katika hali hii...Huyu ni msanii mkubwa na maarufu sana hapa Tz na uhakika kila mtu atakuwa anamkumbua#DazBaba aliyekuwa na mmoja katika kundi la#Daznundaz kama sikosei... Sababu ya kuwa hivi ni#Madawa_ya_kulevya.. Na chanzo kikubwa cha madawa ni baadh ya matajiri kujiingiza katika biashara hii ambayo inatuharibia nguvu kazi ya taifa..#Daz ni kijana mdogo sana na ukimwangalia kwenye pic utadhani mzee...Naamini bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha maisha ya kihana mwenzetu kama alivyo @rayc kwa sasa.. .
Toa ushauri wako kuhusiana na vijana wenzetu kuingia kwenye makundi ya utumiaji wa madawa ya kulevya.. Nini chanzo na tufanyaje ili kukomesha janga hili

     fidel odinga na mkewe







Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndani ya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,





Pia walifanikiwa kukuta jacket 
proof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku  maarufu kama andnight vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo.

                  

Joel Martin

Home where CORD leader, Raila Odinga’s family was waiting for Fidel Odinga’s post-mortem results.
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com