Saturday 6 September 2014

Ripota wa TZA Kenya Julius Kepkoich anatiririka kwamba Uhuru Kenyatta ametajwa kama rais anayejitokeza kwa njia ya kipekee toka Kenya ianze kutawaliwa akiwa pia ni rais wa kwanza kenya kumiliki kiti kilichowahi kukaliwa na baba yake.

Tangu kutwaa madaraka Kenyatta amekua akifanya mambo yasiyo ya kawaida kwa Rais yeyote hasa hapa Afrika yeye ametajwa kua  anatumia sana mitandao ya kijamii kuwasiliana na watu, pia amewashangaza wengi kwa kutumia gari moja tu kwenye shughuli zake za kibinafsi.
 Kingine alichotajwa nacho ni kujichanganya na raia wengine wa kawaida kwenye maisha ya kawaida kabisa hata kununua karanga kwenye foleni ya magari, kujivinjari ufukweni Mombasa na wakenya tu wa kawaida.
 
 
Wiki hii Rais Kenyatta anatufungia wiki Kenya kwa picha za kipekee alizopost akiwa na magwanda ya kijeshi juu chini, ikasababisha iwe ni trend kwenye mitandao na kila mtu akaandika chakwake, mwingine military Swagg, ameamua kwenda somalia mwenyewe, the happiest Army officer na commander in chief na mengineyo..
 


 
Kutoka kenya story zinazomiliki vichwa vingi vya habari kwenye blogs na hata mitandao ya kujamii na hata website mbalimbali kubwa kutoka kenya ni juu ya wale askari wa kike ambao ni wazuri kuliko wote kenya nzima,nimekukusanyia picha zao zote shuka nazo hapa....
























Mwili wa kijana huyo ukiwa katika gari la polisi kupelekwa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.
KIJANA anayesadikiwa kuwa kibaka na ambaye hajafahamika jina lake, leo asubuhi amechomwa moto hadi kufa akidaiwa kuiba baiskeli maeneo ya Nane Nane mjini Morogoro, jirani na shule ya Sekondari ya Alfa James ambayo ni maarufu kama Shule ya Father Pekupeku.
”Majira ya saa moja asubuhi tumeona vijana wanne wakimfukuza mwenzao, walipofika hapa kwenye mabweni ya shule ya Alfa, wakamkamta akiwa na baiskeli na kumshushia kichapo kikali na baadaye wakamchoma moto wakidai alikuwa ameiba baiskeli yao maeneo ya Tubuyu, ” alisema shuhuda mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la Mama Happy.

Gari la polisi likiondoka na mwili wa kijana huyo.


Mtandao huu wa paparazi ulishuhudia kijana huyo akiendelea kuteketea kwa moto akituhumiwa kuiba baiskeli kuukuu yenye thamani ya shilingi  60,000. Polisi walifika  na kuuchukua mwili huo na kuupeleka Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro.


Wanafunzi wa Sekondari ya Alfa James wakishuhudia mahali alipochomewa mtuhumiwa.
Raia wengine waliofika eneo la tukio.
Baadhi ya Taswira za Zoezi la Medani la Operesheni Maliza Matata ambalo limeshirikisha mamia ya wapiganaji na maofisa ambako zimetumika silaha za moto kwa njia ya ndege za kivita, vifaru, makombora na risasi kwenye Sherehe za Miaka 50 ya JWTZ kwenye eneo la Langururusu, Wilaya ya Monduli, Mkoa wa Arusha.
 Madhara ya shambulio hilo la mazoezi
 
Ni shida Hapa Mjini kwa Wadada , Kila Mdada anataka Awe na Mkia as ndo kitu kina kiki hapa Town, Inafikia Wengine wanaamua kutafuta Makalio Fake kwa Njia yoyote ile Kama kumeza dawa za mchina ama kuvaa vigodoro..Wadada Jamani Taratibu Siku hizi Wanaume hata hatujui lipi Fake lipi Original...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com