Saturday 18 October 2014

Jux 1Waimbaji Jux na Vanessa Mdee tayari mpaka sasa wameshachukua nafasi kwa kiasi chake kwenye headlines za stori za mastaa wa bongo mwaka huu na hii ni kutokana na wawili hawa kuonekana pamoja sehemu kadhaa.
Kama unataka kuziona dakika zao chache baada ya kukutwa na camera ya AyoTV weekend iliyopita unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini…
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza 

12
Sina Rambo ni mshkaji wa long time wa Davido.
Pale ambapo unakutanishwa na miongoni mwa mastaa wanaofanya vizuri kwenye list ya hits za Afrika kwa sasa…….. pale ambapo pia unapewa ruhusa ya kuona akifanya yake kwa zaidi ya dakika 20 mbele ya macho yako.
11
13
10
9
7
5
Mussa Mateja mwandishi wa Global Publishers akiwa na Davido.

.
.
Daraja jipya la kutuvusha kati ya Kigamboni na upande wa pili wa Dar es salaam linaendelea kujengwa juu ya bahari katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini Dar es Salaam ambapo millardayo.com na AyoTV  October 15 2014 ilipata nafasi  ya kutembelea daraja hili.
.
.
Mama mmoja ambae anafanya biashara ya kuwauzia chakula Mafundi wa daraja hili amesema amekua akishuhudia ujenzi ukiendelea hata wakati wa usiku pia, yani akiamka asubuhi na kuja kazini anakuta mabadiliko.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza 
13
14
15Tunajua rapper T.I kutoka Marekani ni mmoja wa wakali ambao wamepewa hati miliki ya stage ya tamasha la Fiesta linalofanyika leo viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam likiwa na wakali wengine kama Diamond, Ommy Dimpoz, Nay wa Mitego, Waje, Stamina, Mwana FA, Victoria Kimani, Linah naVanessa Mdee.
16
1
2
4
3
5
6
11
10
8
7
12
20
Gari lililombeba T.I kutokea Airport
Utakuwepo leo Fiesta mtu wangu? nitajie nyimbo mbili maarufu za T.I sababu kuna zawadi zitatolewa kwa wachache wataowahi kucomment.

Kufuatia  sakata  la  Flora  Mbasha  na  mumewe  likumuhusisha  moja  moja  kiongozi  wa  kiroho  Mchungaji  Gwajima, habari  tulizozipata  ni  kwamba  mchungaji  huyo  amekimbia  nchi….

Habari  toka  chanzo  cha  kuaminika  kilichopo  ndani  ya  kanisa  la  mchungaji  huyo  ni  kuwa  Gwajima  hivi  sasa  ameshauza  karibia  robo  tatu  ya  mali  zake  na  kwamba  moja  kati  ya  magari  yake  ya  kifahari  huenda  likanunuliwa  na  mwanamuziki  Diamond.

Jamaa  hivi  tunavyoongea  anaweza  akawa  ameshatoroka  tayari, maana  hili  sakata  limeanza  kumwendea  hovyo  na  wiki  iliyopita  kuna  madalali  walikuja  hapa  wakiitaka  gari  yake  aina  ya  Hammer, wakidai  kuwa  inataka  kununuliwa  na  mwanamuziki  Diamond,”  kilisema  chanzo  cha  habari  hii.

Kikaendelea  kumwaga  data  kuwa  karibu  wiki  zima  lililopita  mchungaji  huyo  alikuwa  kwenye  mipango ya  kuuza  baadhi  ya  nyumba  zake  na  kwamba  hata  familia  yake  hivi  sasa  haiko  kwenye   makazi  yake  anayoishi  siku  zote…

Hata  familia  yake  sijaiona  karibu  wiki  mbili  hapa  kanisani  na  taarifa  tulizonazo  karibu  waumini  wengi  tu ni  kwamba  jamaa  anataka  kuhama  nchi  lakini  hatujui  ni nchi gani  anayotaka  kwenda  kufanya  makazi  yake  tena  ya  kudumu,” alisema.

Habari  hizo  zinadai  kuwa  baadhi  ya  waumini  wamepanga  kugawana  mali  kadhaa  za  kanisa  pamoja  na  za  Gwajima  mwenyewe  endapo  itagundukia  kuwa  ametoroka  kweli….

Kuna  baadhi  ya  waumini  wamekerwa  sana  na  hii  skendo ya  Flora  Mbasha, wamekuwa  wakijiapiza  kwamba  hata  zile  mali  zake  ni  halali  yao  kwani  zinatokana  na  sadaka  wanazotoa  kila  siku, inasikitisha  sana  kwa  kweli.” alisema  mtoa  habai  hii.

Inasemekana  kuwa  mchungaji  Gwajima amepanga  kuwaaga  waumini  wake  kama  vile  anakwenda  kueneza  neno  katika mataifa  mengine, lakini  ukweli  ni  kwamba  anataka  kuondoka  ili  kukwepa  aibu  kutokana  na  mambo  yanayoendelea…

Jamaa  yupo  kwenye  hali  ngumu, hii  ishu  ya  Flora  Mbasha imemuweka  katika  wakati  mgumu  sana  kwa  sababu  amekuwa  akinyooshewa  vidole  sana, na  kuna  baadhi  ya  wazee  wamekuwa  wakimtaka  atoe  tamko  rasmi  ili  kukwepa  hiki  kikombe  cha  aibu,” kilisema  chanzo  hicho.

Mwandishi  alimpigia  simu  Gwajima  lakini  simu  yake  haikupatikana, na  hata  Diamond  naye  alipopigiwa  simu  ili  kujua  kama  kweli  anataka kununua  gari  la  Gwajima, simu  yake  iliita  bila  kupokelewa  na  hata  alipotumiwa  ujumbe mfupi  hakujibu  kitu
KWA STORY NA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi tuvitumiavyo. Zamani haikuwa rahisi hata kuipata gari yenye hata Televisheni moja lakini hivi sasa mambo si kama enzi za zama za kale. 

Hivi sasa tunapata kujionea kewenye magari ya kampuni ya RATCO ya mabasi yaendayo Tanga wameleta mabasi yenye Televisheni katika kila kiti cha abiria. Raha ilioje hii..? Na zaidi sasa magari yaliyo mengi yana soketi za umeme katika kila kiti ambapo utaweza kuchaji simu

 yako huku ukisafiri.

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujao

Baadhi ya wasanii kutoka mataifa mbalimbali ambao watapanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta leo

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa wakimtambulisha msanii nguli kutoka Nchini Marekani TI kabla ya kupanda jukwaani Muda mfupi ujao katika Viwanja vya Leaders.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru akitoa machache wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar Es Salaam.

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Bw Joseph Kusaga akitoa machache kabla ya kumtambulisha Msanii wa Muziki Kutoka Nchini Marekani TI ambae atapanda kwenye jukwaa la Fiesta muda mfupi ujao katika Viwanja vya Leaders.

Msanii kutoka nchini Nigeria Davido akiongelea jinsi atakavyo wapagawisha watanzania leo katika jukwaa la Serengeti Fiesta muda mchache ujao katika viwanja vya Leaders.

Wanahabari wakiwajibika wakati wa mkutano wa Kumtambulisha Msanii TI ambae atapanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta leo katika Viwanja vya Leaders.Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com