Sunday 14 December 2014


Ni ajali iliyotokea katika eneo la Ngorongoro



                                        Lucy enzi za uhai wake

Usiache kututembelea ili tukujuze habari hii hivi punde
Mtoto wa Rasi Uhuru Kenyatta Avujisha Picha zake za Kimahaba Akiwa na Girlfriend wake ziko Hapa.

Mtoto wa Rasi Uhuru Kenyatta Avujisha Picha zake za Kimahaba Akiwa na Girlfriend wake ziko Hapa.

uhuru kenyatta son muhoho kenyatta
Mmiliki wa Fashion line kutoka kenya ambaye pia ni mtoto wa Rais Uhuru Kenyatta ambaye anajulikanakwa jina la Muhoho Kenyatta kupitia mitandao ya kijamii amemtambulisha mpenzi wake rasmi ambayehakumtaja jina lake halisi ni nani nimefanikiwa kukupatia picha zake wakiwa kwenye mahaba mazito
Muhoho kenyatta girlfriend
Muhoho kenyatta girlfriend


PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

                           
  Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000 sawa na shiingi milioni 805 za kibongo.
 
 
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa 
Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari hili la mtoto wa Bakhresa
 
Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 
 
Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa    
 
Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani?  
 
Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam
Share Button
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com