Showing posts with label habari. Show all posts
Showing posts with label habari. Show all posts

Tuesday, 16 December 2014



Stori: Andrew Carlos
DEREVA bodaboda mmoja aliyefahamika kwa jina la Seleman amedaiwa kumchoma visu mwilini dereva mwenzake wa aliyefahamika kwa jina la Panya Road na kumsababishia kifo.

Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Seleman (mwenye flana) akimshambulia kwa visu mwilini dereva mwenzake  anayefahamika kwa jina la Panya Road.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano iliyopita asubuhi maeneo ya Tungi-Msikitini, Kigamboni, jijini Dar katika chumba ambacho Seleman alikuwa amepanga.“Inasemekana Panya Road ilikuwa kama tabia yake iliyozoeleka ya kumnyatia mwenzake akiwa katoka kidogo anaingia na kuondoka na chochote cha thamani atakachokikuta.
Bahati mbaya leo (Jumatano) Seleman alikuwa ametoka mara moja na mlango wake hakuwa ameufunga sasa aliporudi ndiyo akamkuta Panya Road akiwa ndani kwake akitaka kumuibia ndipo kasheshe lilipoanzia hapo,” kilisema chanzo.

Damu nje nje...
Chanzo kiliendelea kutiririka kuwa baada ya Seleman kumkuta Panya Road ndani kwake, inadaiwa aliamua kuchukua sheria mkononi ambapo alichukua kisu na kuanza kumchomachoma sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha avuje damu nyingi.
“Tulisikia kelele katika chumba cha Seleman lakini kila tukipiga hodi mlango haukufunguliwa zaidi ya kelele kuongezeka. Hatukukata tamaa tuliendelea kuita mpaka Seleman akafungua mlango lakini nguo zake zilikuwa zimeloa damu,” kilisema chanzo.

Raia wakishuhudia tukio hilo.
Baada ya kutolewa nje Seleman, majirani waliendelea kumsihi asiendelee kumchoma mwenzake lakini hakuacha, alizidisha hadi pale walipomvaa na kumpora kisu.Hata hivyo baadaye polisi wa Kituo cha Kigamboni walipigiwa simu na kufika mara moja ambapo walimchukua Seleman na Panya Road akiwa hajitambui ambapo imedaiwa kuwa alikata roho kabla hajafikishwa hospitali.
Alipotafutwa Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, Kihenya M. Kihenya kuhusiana na tukio hilo, alisema taarifa za tukio hilo hazijamfikia lakini akaahidi kulifuatilia mara moja.
GPL

Tuesday, 2 September 2014

Police in Norwich are investigating an attack on a dog in the early hours of Saturday morning.
Just before 6am someone found a brown and white boxer cross dog abandoned in Sloughbottom Park
Police in Norwich are investigating an attack on a dog in the early hours of Saturday morning.
Just before 6am someone found a brown and white boxer cross dog abandoned in Sloughbottom Park with his legs all tied together and his collar bound up with string and household electrical cable.
The dog was left tied up
The dog was left tied up Credit: Norfolk Police
He had then been tied to a post with cabling around his neck, leaving him unable to stand up or move.
Officers looked after the dog at the scene and together with vets managed to free him for treatment.
Police care for the dog
Police care for the dog while waiting for vets to arrive Credit: Norfolk Police
The dog is thought to be about 4 years old and while he was in pain from being tied up he is relatively healthy. He's not got an identity tag or micro chip.
"Attacking a dog in this way is completely unacceptable and I would urge anyone who has information about the incident to contact me. Officers will be working with Inspectors from the RSPCA to find the person responsible and take action.”
– PC Craig Bidwell
Spencer
Spencer is now recovering with the RSPCA Credit: Norfolk Police
Staff at the RSPCA who are currently caring for him have nicknamed him ‘Spencer’
"Poor Spencer was traumatised from this horrible ordeal but luckily not hurt. He is a lovely dog, and has clearly been well looked after, so it might even be that there is a loving owner out there missing him. We urge anyone with any information to come forward.

Lancashire Police
Shocking images show Cynthia Bell's injury. Credit: Lancashire Police
A pensioner was left with a pen embedded in her arm after a row on a coach in Blackpool.
Cynthia Bell, 66, from Durham, was helping at her husband's coach company when a man boarded the vehicle and refused to leave.

The man stabbed Ms Bell with a pen as she attempted to stop him touching the controls.
The incident occurred in a coach park at Seasiders Way in Blackpool at around 5pm on August 24.
Lancashire Police said the 66-year-old was lucky to avoid serious blood loss or nerve damage.

Lancashire Police
The 66-year-old was attacked during a confrontation on a coach in Blackpool. Credit: Lancashire Police
The offender - who used "significant force" to stab Bell - is described as a white male in his late teens or early 20s, 6ft and of stocky build, with short dark hair.
Police are also attempting to trace two young women who were with the suspect.
The first is said to be white, wearing a pink top with a floral print and walked with a limp and pushed a pram.

The second woman had blonde hair, a tattoo on the right side of her lower stomach and was wearing a cream jumper.
Anyone with information has been urged to contact either PC 6857 Danny Morris or DS 3370 Mark Dickinson on 101 quoting log number 0979 of 24 August 2014
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com