Sunday 14 September 2014

Picha za Waanzilishi wawili wa Mtandao Mkubwa East Africa wa Jamii Forums ambao ni Maxence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k 
Hongera zaoence Melo na Mike , Najua ni Wengi Mlikuwa mnapenda Kuwajua kama mimi nilivyokuwa nahamu ya kuwaoana, Jamii forums ni mtandao ambao watu huingia na kujadili mambo mbali mbali kama Siasa, Udaku , Biashara n.k 
Hongera zao




Obama .
obama-kenyan
Obama-and-his-grandma-doing-farm-work
president obama
Young Barack Obama with his paternal grandmother Sarah Onyango Obama (also known as Sarah Ogwei is the third wife of Barack Obama’s paternal grandfather)
President Obama used her accounts of the family history extensively in his 1995 autobiography, Dreams From My Father (A Story of Race and Inheritance) he has  other books
The Audacity of Hope, Of Thee I Sing (A Letter to My Daughters by Barack Obama and Loren Long)…
He made history when he became  the 44th  President of the United States and the first African American to hold the office.
God has a way of always lifting people up to put  their enemies to shame!
Barack Obama  was destined to be great!


Kutana na Lemon, mbwa anayependa kufanya kazi za nyumbani kama binaadam. Lemon hupenda kwenda kuchota maji na anaweza kulima vizuri kwa kutumia jembe la plau.
Mmiliki wake, Alexander Matitsyn alimnunua Lemon baada ya kustaafu kazi ya jeshi.
Fani yake akiwa katika jeshi la Urusi ilikuwa kufunza mbwa jinsi ya kutekeleza majukumu mbalimbali, hivyo si ajabu aliweza kumfundisha Lemon 'ujanja'.
"Hupenda kujifunza na kujaribu mambo mapya na huwa hasahau" amesema bwana Matitsyn.
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com