Tuesday 14 October 2014

Kwa jina unaweza muita Leilani Franco(Backbend) ana uraia wa nchi mbili (Uingereza / Philippines) alisafiri katika nafasi umbali wa 20m katika muda wadk 10.05 katika tamasha la Royal Hall mjini London Uingereza, tarehe 11 Machi 2013.
 Backbend binadamu ambaye ana uwezo wa kutembealea mikono na miguu kwa umbali mrefu.
 Pia kama inavyodhaniwa kwa kawaida Mtu anaweza tumia mikono kwa kulia chakula na kufanya shughuli nyingine, lakini kwa mwanamke huyu imekuwa ni tofauti kabisa, Mwanamke huyu ana uwezo wa kutumia miguu yake katika shughuli zake binafsi kama Kula na kadhalika.....  
Hatimaye, Leilani pia anashikilia rekodi ya Dunia kutokana na uwezo wake katika kuuzungusha Mwili wake. 
Hayo nsio madhira ya ugonjwa huu hatari wa Ebola unaotikisa dunia wa sasa!
KWA PAMOJA TUSALI MWENYEZI MUNGU ATUEPUSHE NA HILI JANGA!
COMMENT AMEN NA SHARE NA WENZAKO KAMA KWELI UNAJALI!
Kwenye nyumba tunazoishi mara nyingi tumekua tukifuga na kuishi na Paka au Mbwa kitu ambacho ni kawaida na ni nadra sana kukutana na mtu anaeishi na au kufuga viumbe ambavyo ni hatari kwa maisha ya binadamu mfano Nyoka. 
Sasa hii inaweza kutushangaza kwa sababu kuna Simba ajulikanaye kama mkuu wa msitu alihamishia makazi yake kwenye nyumba ya Melanie Griffith mwigizaji ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 57. 

Unaambiwa Simba huyu alihamia kwenye nyumba hiyo toka Melanie akiwa na umri wa miaka 14 huko Sherman Oaks,California Marekani ambapo mama yake Melanie ni mwigizaji Tippi Hedren na baba yake wa kambo kwa muda huo Noel Marshall. 
Kingine cha kufahamu ni kwamba hii familia ilikuwa inamlea Simba huyu nyumbani ambae alipewa jina la Neil kama wanyama wengine, mfano Mbwa au Paka. 
Picha za Melanie na mama yake wakiwa wanacheza na simba huyo ziliwekwa kwenye jarida la ‘Life Magazine‘ mwaka 1971 ambapo zilikua zinaonesha mtoto huyo kuwa na ukaribu mkubwa na Simba na hata kulala na kuogelea nae. 

Mama Melanie aliyeigiza kwenye filamu ya ‘The Birds’ miaka 8 baada ya kupigwa kwa picha hizo alionekana pia kupenda kucheza na mnyama huyo pori. 

Simba huyu alikuja kuishi na familia hiyo wakati mama Melanie na baba wakiwa wanatengeneza filamu Afrika ambapo kwenye matembezi yao waliona kuna nyumba yenye Simba ambao hawana makazi mazuri ndipo walipoamua kumchukua Simba huyo kutengeneza filamu inayohusiana na Simba. 

Kweli baadae walitengeza filamu iliyoitwa ‘Roar’ ambapo ilitolewa kwenye miaka ya 80 ambapo kwenye mahojiano yaliyofanywa mwezi April mwaka 1982 na The Guardian, U.K ilitangazwa filamu hiyo ya Roar. 
Griffith alielezea jinsi alivyopata alama za usoni na kusema Simba huyo hakumaanisha kumuumiza, aliendelea kusema ‘Baada ya kukaa miaka 7 na Simba unasahau kama Simba ni mnyama na pia ni hatari kuwa nao karibu, katika utengenezaji wa filamu hamna mnyama alieumia sema watengenezaji wengi wameumia na wapo hospitali’Mama wa Griffith ambaye sasa ana miaka 85 alipendezwa sana na uhusiano wa Griffith na wanyama mpaka akaamua afungue kituo cha kulea wanyama ambao wamekosa malezi kiitwacho ‘Shambala Preserve’ kwenye mjia wa  Acton California Marekani mwaka 1972.

Ile Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ikishirikiana na askari wa ulinzi shirikishi, wamefanikiwa kufumua danguro hatari linaloendesha shughuli zake katika eneo la shule baada ya kumnasa mwanamke aliyedai ni mke wa mtu akifanya uzinzi na njemba ambaye hakujulikana jina lake. 

Kikosi cha OFM kimkurupusha mke wa mtu aliyekuwa akifanya uzinzi na njemba moja(jina halikufamika).
 Tukio hilo la aibu ya karne lilijiri ndani ya eneo la shule ya msingi Shekilango, iliyopo Mapambano, Sinza jijini Dar, hivi karibuni ambapo mke huyo wa mtu alikuwa akichepuka. 

Awali, OFM ilipokea taarifa za kuwepo kwa uchafu huo kutoka kwa wasamaria wema wanaoishi eneo hilo baada ya kukerwa na tabia hiyo chafu huku wakiacha kondom zikiwa zimezagaa na kuhatarisha afya za watoto wao ambao huchezea mipira hiyo ya kinga kama mapulizo.

Baada ya OFM kunyetishiwa ishu hiyo, walishirikiana na askari hao ambapo walivamia eneo hilo na kumbamba mwanamke huyo akibanjuka na njemba.
Wazinifu wakivaa mara baada ya kunaswa wakifanya yao.
 Wawili hao, baada ya kubambwa 'laivu' walitiwa kizuizini kabla ya vijana wanaodaiwa kuchukua posho kwa wanaofanyia mambo yao kwenye danguro hilo kuanzisha vurumai ingawa walidhibitiwa huku jamaa aliyekuwa anahudumiwa akitoka nduki. 

Akizungumza na gazeti hili, mwanamke huyo aliomba asamehewe na kusema kwamba kinachomsababishia kufanya shughuli hiyo ni ugumu wa maisha na kundi la watoto anaowalea ambao baba yao hana ajira.
Wazinifu wakiwa chini ya ulinzi wa Makamanda wa OFM.
 Gazeti hili lilipotaka kuzungumza na mumewe ili kujua kama anafahamu kuwa mkewe anafanya biashara haramu ya kuuza mwili, mwanamke huyo alidai kwamba mumewe hana simu.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo alisikika akisema: "Dah! Mngewahi dakika kumi tu, mngemkuta baba wa Kiarabu aliyeingia na mwanamke muda si mrefu, hili danguro linatumiwa usiku kucha, yaani linapoingia giza tu hapa ni balaa hadi asubuhi."
 

Mwalimu wa zamu, Kilavo Charles, aliiambia OFM kuwa suala hilo limeshafikishwa kituo cha Polisi Mabatini ambao waliahidi kulishughulikia.“Ni aibu, asubuhi watoto wanafagia kondom, tunakosa cha kuwaambia, hii ni hatari kwa kweli na tunaomba mamlaka zinazohusika zilifanyie kazi jambo hili,” alisema.
The roads on the side of the Chegenpo mountain look arty and yet dangerous
The drive along the Chegenpo segment will offer incredible views of the Xintang Township of Enshi City, Hubei Province, China
The drive along the Chegenpo segment will offer incredible views of the Xintang Township of Enshi City, Hubei Province, China
Sky high: Clouds engulf the hills that the Death Road runs through in Bolivia
Sky high: Clouds engulf the hills that the Death Road runs through in Bolivia
Once in a lifetime: A group of cyclists capture a magic moment on the Death Road in Bolivia
Once in a lifetime: A group of cyclists capture a magic moment on the Death Road in Bolivia
Narrow passage: The road in Bolivia thins out to just three metres at the 700-metre mark of the journey
Narrow passage: The road in Bolivia thins out to just three metres at the 700-metre mark of the journey
Cruise control: Cyclists begin the four to five-hour ride from La Cumbre, the summit of the route, in Bolivia
Cruise control: Cyclists begin the four to five-hour ride from La Cumbre, the summit of the route, in Bolivia

Imetimia zaidi ya miaka miwili tangu kukamatwa na baadaye kifo cha Kanali Muammar Gaddafi, dikteta wa Libya ambaye utawala wake wa miongo kadhaa ulikabiliwa na umasikini mkubwa vitisho, mauaji ya kikatili kwa raia wasio na hatia na ugaidi.

Kwa mujibu wa mtandao wa BBC4 documentary, Gaddafi alikuwa na vyumba maalum kwa wafungwa wa ngono katika utawala wake wa miaka 42 ya udikteta.

Mamia ya vijana wasichana kwa wavulana wenye umri kati ya miaka 14 walikuwa watumwa wa ngono kwake.

Taarifa zinasema wengi walikuwa ni wasichana mabikira waliotekwa nyara kutoka shule za sekondari na vyuo vikuu kama Chuo Kikuu cha Tripoli na walikuwa wanapokea maagizo kutoka kwa wasaidizi wa karibu wa Kanali Gaddafi.

Wasichana hao walipimwa kwanza magonjwa ya zinaa (STD) na kisha kupelekwa katika moja ya vyumba maalum kwa kazi ya ngono.

Na inasemekana aliunda jeshi la wanawake tu ambao baadhi yao walilazimishwa kufanya ngono na dikteta huyo.

Gaddafi aliuawa mwezi Oktoba 2011 wakati kiongozi huyo wa zamani anatolewa nje na kuanguka kwenye mtaro wa maji machafu baada ya kupigwa risasi. Kifo chake na damu yake kilimaliza vita ya NATO ya wenyewe kwa wenyewe.


Chumba cha ngono alichotumia Gaddafi mara ya mwisho kilibaki kimefungwa bila kubadilishwa kitu chochote.
Hiki ni kifaa kikamilifu na maalum kilichokuwa kinatumiwa kuangalia magonjwa ya zinaa kwa wasichana wadogo kabla ya kupelekwa kwa Dikteta Gaddafi kwa shughuli ya ngono.
Baadhi ya wanajeshi ambao kati yao walilazimishwa kufanya mapenzi na Gaddafi



A boy serenades the passenger of jeepney to ask for help.

photo courtesy : Hayop sa Galing

There is a video that is trending in the social media nowadays and it includes an excellent boy with such wonderful voice.

He goes inside every jeepneys to ask for help. He doesn't just simply asks for help, he sings his heart out  to make sure that the passengers were entertained.


He gracefully sang the song Ngayong Nandito Ka. This video only proves that there are a lot of undiscovered talents in the Philippines.

However, the netizens have different opinion
s. Some says that they should not tolerate the child because it is very dangerous for him to be on the highways. While on the other hand, some simply didn't want to argue on the issue if it is right to give money to them. For others, they just wanted to celebrate the talent that the child has.

This child will definitely shine if he would be given the right care and needs.



Arsenal Manager Arsene Wenger Spotted In A Brazilian Beach With This Young Bikini Be


1.CATHERINE MAGIGE (CCM)
2.VICK KAMATA (CCM)
3.JOYCE MUKYA (CHADEMA)
4.MARRY MWANJELWA (CCM)
 
ESTER MATIKO (CHADEMA)
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com