Sunday 7 September 2014

Na Suzy Baltazar 
"Huyu anaitwa Afande John kapata ajali mbaya mpaka kufariki maeneo yaKisarawe huyo yupo pale myfair TRA upande wa leseni za magari (Driving licence) pole kwa jeshi la polisi pia na familia mwenyezi mungu ailaze roho yake pema peponi Amen. Ni kipenzi cha wengi. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde, endelea kufuatilia hapa...!
×Ads by OffersWizardIlikuwa asubui Ya kuamkia Leo NiLipo washa sim yangu na kukutana na hiziz picha kwenye group moja hivi whatsapp Jamaa alio zituma inadaiwa kuwa alikuwa na mausiano na Huyu mwanadada aliepiga picha za utupu.


<<Picha ya 1>> 



<<Picha ya 2>> 



<<Picha ya 3>> 



<<Picha ya 4>> 



<<Picha ya 5>> 
Their relationship has been rumoured to be on the rocks for some time now.
WATU ETI HO WAMEZINGUANE WANATAKA KUACHNA WEWE INAKUHUSU NINI?

But Beyonce and her rapper beau Jay Z looked the picture of happiness as they strolled around the Italian seaside village of Portofino on Saturday.

After a day on the beach with baby Blue Ivy, the couple ventures off into the holiday resort alone for a bit of couple time.

Dressed in a pretty floral bikini, a pink sarong and a straw trilby hat, Queen Bey looked like a glamorous beach babe as she strolled through the narrow cobbled streets with her hubby, flaunting her toned pins and washboard abs.
The singer accessorised her beach look with a pair of dark shades and a gold choker necklace which sparkled in the sunlight.

Jay, who looked much more casual in a stripped tee and shorts couldn't take his hands off his gorgeous wife as they explored the tourist resort.

After a potter around the village, the loved-up duo rented a little speed boat from the harbour.

Jay was seen helping his missus onto the vessel and making sure she was comfy, before taking to the wheel and jetting off into the sunset.
Bey, Jay and Baby Blue are vacay-ing in Italy in celebration of the Partition hitmaker's 33rd birthday 
Before jetting out to the Med, Jay and Bey were seen putting on a very loved up PDA at the Made In America Festival on Sunday evening .


The couple acted like they were the only two people in the room as they piled on the PDA while slow-dancing.
 
Of course they weren’t the only celebs backstage and their intimate moment was caught on camera for all to see, once again quashing any rumours that are going through any issues.
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Jeshi la Wanachi wa Tanzania JWTZ, Mkuu wa majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya kuwatunuku nishani katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kulia kwake ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jeneral Davis Mwamunyange.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue katika sherehe za kutunuku nishani zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. 
MAGAZETI YOTE YA LEO JUMAPILI. BONYEZA HAPA!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ baada ya Rais Jakaya Kikwete kutunuku nishani katika sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Jenerali Kiwelu wa Chuo cha Mafunzo ya Maafisa wa Jeshi Tanzania, Monduli, Septemba 6, 2014. Kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na wapili kushoto ni waziri Mkuu Mstaafu John Malecela.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com