Monday 1 September 2014

NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja na sheria kutoruhusu, wasanii wetu hasa wa kike wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuusaka umaarufu wa kujulikana kwa jamii kwa njia za panya,....




Wengi wao wamepoteza sifa za uwajibikaji na badala yake wamejikita katika Skendo chafu ili jamii iwajue... Hali hii imewafanya wasanii wengi wa kike wawe na umaarufu wa skendo chafu.... Miongoni mwa skendo hizo ni:

 

1.Kupiga picha za uchiHili ni kundi la wasanii chipukizi wanaosaka umaarufu kwa gharama yoyote....Ni skendo ambayo huwachafua sana, lakini pia ni skendo ambayo huwainua na kuwafanya wajulikane.... Mfano halisi wa wasanii wa kundi hili ni Rayuu,Agness Masogange, Lulu Michael,Pendo wa Maisha plus Pendo Moshi 

2.Kutumia madawa ya kulevyaHili ni kundi la wasanii ambao hutumia madawa ya kulevya na kisha hukimbilia katika vyombo vya habari na kujitangaza kwamba ni wavuta bangi na kwamba "hivi sasa wameacha"

3.Kuvaa nusu uchiHili ni kundi lenye wasanii wengi sana.Hawa ni wasanii wenye imani ya kuwa mastaa kwa kuvaa nusu uchi huku mapaja na matiti yao yakiwa wazi ... Wahanga wa kundi hili ni wasanii wa kike ambao sote tunawajua. 

4.Kutovaa chupi na kujipitisha mbele ya kamera Hili ni kundi la wasanii wachache ambao umaarufu wao umekwisha.Ili kujiinua tena kwa jamii, wasanii hawa hutumia skendo nzito kama hizi ambazo huifanya jamii istuke..!...Mfano halisi ni Nakaaya.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com