Monday 1 September 2014

Gari aina ya Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN lililopinduka maeneo ya Tazara.Polisi akilitazama gari lililopata ajali eneo la tukio.Pichani juu na chini Wananchi wakishuhudia kwa karibu zaidi ajali mbaya iliyotokea maeneo ya Tazara. 
SAD NEWS! MFANYABIASHARA AMCHARANGA MAPANGA ALBINO MOROGORO!. BONYEZA HAPA! (PICHA/STORI NA:MICHAEL MSOMBE WHATSAPP +255 712 919 142)
Ajali ya gari dogo imetokea jana majira ya saa 10  za jioni katika maeneo ya Tazara jijini Dar es salaam. Dereva wa gari hili (Toyota Landcruiser VX lenye namba za usajili T540 APN) aliruka mapema kabla ya tukio kutokea na alikuwa peke yake.Kwa mujibu wa mashuhuda ni kwamba, dereva alipoteza muelekeo ktk kulikwepa gari aina ya fuso lililokuwa kando ya barabara.Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
UPDATES ZA USAJILI ULAYA: BEKI MWENYE NGUVU WA MAN  CITY AENDA ITALIA. BONYEZA HAPA!

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com