Saturday 31 January 2015

Huku kwetu tuna utaratibu wa kuwapa watoto wetu majina tunayopenda, yapo majina ya watu maarufu kama viongozi, wanasoka, waigizaji na wengineo.
Kuna hizi nchi ambacho wao wamepiga marufuku baadhi ya majina kupewa watoto, list ni hii hapa.
New Zealand: Msajili wa Vizazi, Vifo na Ndoa nchi hii ameagiza baadhi ya majina kupigwa marufuku ikiwemo majina haya;Majesty, Queen Victoria, Lucifer na jina laMafia No Fear.
VenezuelaWao wamezuia matumizi ya jina la Superman kwa kuwa ni gumu kulitamka.
Denmark: Wametoa list ya majina rasmi ambayo yako zaidi ya 7,000 mtoto akizaliwa anachaguliwa jina kati ya majina hayo, moja ya majina yaliyozuiwa huku ni jina la Monkey.
Brazil: Jina lililozuiwa huku ni jina laSaddam Hussein.
Mexico: Wamepiga marufuku mtoto kupewa majina ya Scrotum, Terminator, Burger King,Hitler na Virgin.
Uturuki: Mahakama imezuia mtoto kupewa jina la Osama Bin Laden
Portugal: Wao wamezuia jina la Tom.
Mfano hii ingekuja Bongo, majina gani ungependa yazuiwe wasipewe watoto wetu
Psq VII
Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba.

Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo jana January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki kwa mama yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.
Ps
Psq II
PSq Iv
Psq IX
.
Peter na Paul Okoye.
Psq VI
PSQ vkas
.
Peter na kaka yake Jude Okoye.
pSQ
P S 1
PS 2
PS 3
Kulikua na ulinzi pia
Kulikua na ulinzi pia
ps 5
ps 6
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com