Tuesday 16 December 2014


JOSHUA   NASSRI


KAULI   YA  JOSHUA  NASSARI   HII  HAPA 
Joshua Nassari

Diwani wa kata ya Maji ya Chai Ndg Loti Nnko ameanguka baada ya kushindwa uenyekiti wa kijiji cha Ngongongare alichogombea mwenyewe kwenye kata yake ya Maji ya Chai. Tumeshinda vijiji vyote 7 kwenye kata hii.
Sasa Diwani unashindwa hata uenyekiti wa kijiji unasubiri nini kwenye kata??

Dondoo Muhimu.

Kijiji cha Samaria Anakotoka katibu wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Langael Akyoo CHADEMA imeshinda kijiji na vitongoji vyote.

Kata ya na Kijiji anakotoka katibu mwenezi wa ccm Wilaya ya Meru Ndg Aenea Kitomari CHADEMA imeshinda vijiji vyote vitatu na vitongoji vyote.

Kata ya maji ya chai anakotoka katibu wa fedha na uchumi wa ccm Wilaya Wakili Daniel Pallangyo a Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Meru mhe. Frida Kaaya CHADEMA imeshinda vijiji vyote.

TULIANZA NA MUNGU, tutamaliza na Mungu.

"IPTL, Bring back our money"

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com