Tuesday 16 December 2014

Hii imekuwa ni dili kumbe? Tena ya pesa ya kutosha iwapo unaifanikisha.
Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu mashuhuri, mfano ‘Long Walk to Freedom’ aliyoicheza actor Idris Elba akiigiza kama Hayati Nelson Mandela, ‘White House Down’ ambayo Jammie Fox amecheza kama Rais wa Marekani sasa kwa wale wapenzi wa movie hakika hii ni njema kwao.
Una hamu ya kuvijua ni namna ambavyo mahusiano ya Rais wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle Obama walianza mahusiano yao wakati ambao hakuna kati yao aliyekuwa na ndoto ya kuingia Whit House?
TT
Tika Sumpter ameshapangiwa kucheza nafasi kama Michelle Obama huku producer akiendelea na jukumu la kumtafuta kijana wa kiume ambaye atafit kuwa Obama wa mwaka 1989 wakati alipoanza jitihada za kumpata Michelle Robinson ambaye baadaye alikuwa mkewe rasmi mwaka 1992.
Movie hiyo tayari imepewa jina la Southside With You itaanza kurekodiwa mwezi July 2015 Chicago, Marekani.
m
av
Hivi unadhani maisha ya Rais gani wa Tz yakiwekwa kwenye movie utafurahia zaidi?

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com