Tuesday 16 December 2014

waynebirdman
Mmiliki wa Cash Money Birdman amesema hakuna kuondoka kwa Lil Wayne kwenye lebel yake ya Young Money.
Tmz imepata taarifa kutoka kwa watu wa karibu ni Birdman kuwa Jamaa alichukizwa sana na kauli ya Lil Wayne kwenye twitter kuwa “Anajiskia kama mfungwa na kwamba album yake ya Carter V inazuiliwa kutoka” .
Ukizingatia mikataba mikali wanayokuwa nayo Young Money, Birdman ameweka jambo hili wazi kuwa ataenda mahakamani kuzuia kujitoa kwa Lil Wayne Young Money.
Kuhusu album mpya ya Wezzy kutoka Birdman amesema “mambo muhimu ya biashara lazima yafuatwe ili album itoke vizuri, haya mambo Lil Wayne hayajiu ndio maana analalamika ” Album itatoka atakapo amua Birdman
.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com