Saturday 18 October 2014

 

Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi tuvitumiavyo. Zamani haikuwa rahisi hata kuipata gari yenye hata Televisheni moja lakini hivi sasa mambo si kama enzi za zama za kale. 

Hivi sasa tunapata kujionea kewenye magari ya kampuni ya RATCO ya mabasi yaendayo Tanga wameleta mabasi yenye Televisheni katika kila kiti cha abiria. Raha ilioje hii..? Na zaidi sasa magari yaliyo mengi yana soketi za umeme katika kila kiti ambapo utaweza kuchaji simu

 yako huku ukisafiri.



0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com