Polisi kenya ambao walikuwa wakifanya uchunguzi juu ya kifo cha mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini hiyo Raila odinga, Fidel Odinga na Repoti ya polisi inasema kwamba ndani ya Nyumba yake kulikuwa na risasi ndogo na risasi ya kurushia bomu na zaidi ya risasi 1900 ndani ya nyumba yake iliyoke Karen jijini Nairobi,
Pia walifanikiwa kukuta jacketproof zinazotumika kuzuia risasi na miwani za usiku maarufu kama andnight vision goggles. Polisi wanasema Marehemu Fidel Odinga alikuwa na usajili wa kumiliki silaha ndogo.
0 comments:
Post a Comment