...
Friday, 19 December 2014


Pichani ni Bosi wa IPTL Bwana Harbinder Singh Sethi
NA KAROLI VINSENT
RAIS Jakaya Kikwete amehailisha Mkutano wake kati ya Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliokuwa ufanyike leo Katika Ukumbi wa Ubungo plaza mpaka Jumatatu ya Wiki Ijayo.
Sababu ya Kuhailisha Mkutano huo bado haijasemwa ila Wadadisi wa masuala ya Mambo wanasema Sababu ya Rais Jakaya Kikwete...


Stori:waandishi wetu
MENGINE yameibuka! Kifo cha aliyekuwa mnenguaji wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ kimeibua mengine ambapo baadhi ya watu wa karibu wanaamini kimetokana na kudungwa sindano tano za majimaji yenye madawa ya kulevya, ‘unga’ na rafiki yake, Ijumaa ‘Kubwa’ linakupa zaidi.
Marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’enzi...
Thursday, 18 December 2014


Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!!Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake...


Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete
Waziri Mizengo Pinda amekatiza kwa muda, ziara yake katika Falme za Kiarabu kwa maelezo kwamba ameitwa nyumbani na Rais Jakaya Kikwete kwa shughuli maalumu.
Waziri Mkuu ambaye yuko katika ziara ya kutembelea nchi za Falme za Kiarabu, ikiwa ni sehemu ya kudumisha ushirikiano na kutafuta wawekezaji, amekatisha ziara hiyo siku mbili baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali,...



MWILI WA AISHA MADINDA KUPASULIWA ILI UCHUNGUZWE, SASA KUZIKWA KESHO IJUMAA
Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini.
ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda aliyefariki jana asubuhi, atazikwa kesho mchana badala ya leo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.
Mtoto wa kwanza marehemu, Feisal amesema kuwa polisi wamesema ni lazima mwili...


Wanajeshi wa jehsi la Nigeria
Mhakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram.
Wanajeshi hao ambao walipatikana na kosa la uasi,walituhumiwa kukataa kuikomboa miji mitatu iliyokuwa imetekwa na Boko Haram mwezi Agosti.
Wakili wa wanajeshi hao 54 alisema kuwa watawauwa kwa kupigwa risasi huku wengine watano...


Aisha Madinda akiwa na mkurugenzi wa ASET Asha Baraka.
Makala: Sifael Paul na Gladness Mallya
Amekwenda mapema mno! Siku ya Desemba 17, mwaka huu haikuwa poa hata kidogo kwenye tasnia ya muziki wa dansi Bongo katika kipengele cha unenguaji.Chumba chetu cha habari cha Global Publishers kinachofanya kazi kwa karibu na mastaa Bongo kilipata mshtuko wa aina yake.
Zilikuwa ni habari mbaya...
Subscribe to:
Posts (Atom)