Saturday 13 December 2014


Add caption


Hili ni basi ambalo limetumbukia shimoni kwenye mlima Kitonga mkoani Iringa.


Basi lililotumbukia shimoni bila abiria lilikuwa likivutwa, na haikuwezekana. Njia ilifungwa na mamia ya wasafiri tulibaki eneo la tukio kwa saa mbili na nusu.VICTOR SIMON

 


YAJUE MAAJABU YA MLIMA KITONGA KWA KILA MWAKA.. KWA RAIA WA TANZANIA.
dereva alijitahidi kuokoa maisha ya abiria na alifanikiwa mlimani kitonga iringa.

Add caption

Basi hili lilikua linatokea zambia lili ishia hapa

hii ni sehemu hatari saana ambayo inahitaji umakini

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com