Saturday 13 December 2014

Malia together with her boy friend

B
aada ya story kuhit sana kwenye vyombo vya habari kwamba mtoto wa rais Barack Obama, Malia Obama kuwa ni mjazito zimethibitishwa na yule alikuwa akishutumiwa kuwa ndie aliyempatia ujazito huo  

Mitandao mikubwa ya nchini marekani imekuwa ikiripoti kuwa mtoto wa raisi huyo amekuwa akiwa na tabia za kutoka usiku kwenda kwa huyu mwanaume anayesadikiwa na ni mpenzi wake na na hujui funika koti la ngozi likiwa ni mali ya mwanaume huyo ambaohutoka ikulu usiku huo na kwenda kupunga hewa.

Mama yake na Malia Obama, 
Michelle Obama alipofanya interview na moja ya vituo vikuwa vya Tv nchini marekani alikuwa na haya ya kusema   

“Teen pregnancy is common in our family on her father’s side of course.My mother-in-law had Barack when she was 18, so I see where Malia gets it from. I’m just so excited to decorate the nursery. The White House hasn’t seen a baby since oh, 1884 or so.”

Alimaliza kwa kusema hivyo sasa na na wengine pia ndio imekuwa sehemu ya kujipatia umaarufu mtizame huyu 


Malia together with her boy friend



Malia on the right together with her little sisther.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com