Wednesday 26 November 2014

Kuna mambo hapa chini kwenye hii CV kidogo yananipa shida. Naomba wadau mliosoma zamani mnisaidie. Je, miaka ya nyuma elimu ya msingi ilikuwa miaka mitatu?

Huyu mama Dr.Lwakatare alisoma Ifakara Girls Primary School
alianza mwaka 1962 na kumaliza 1965. Pia nisaidieni; Je, elimu ya sekondari A level ilikuwa mwaka mmoja? Maana yeye CV yake inaonesha Korogwe Girls' HighSchool A-Level Education alianza 1970 na kumaliza 1971 HIGH SCHOOL.
Degree miaka ya nyuma zilikuwa zinasomwa kwa miaka mingapi? maana yeye alisoma mwaka mmoja tu Eastern & Southern Africa Management Institute BA(Mass Communication) alianza mwaka 1982 na kumaliza.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com