Wednesday 26 November 2014

26 Novemba 2014 Imebadilishwa mwisho saa 16:35 GMT
Mjane wa Hayati Baba wa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere, amezungumzia sakata ya ESCROW iliyozungumziwa bungeni mjini Dodoma na kupendekeza ripoti ya mgogoro huo wa IPTL kujadiliwa kwa uwazi ili kupata ufumbuzi na wahusika kuwajibishwa kwa manufaa ya umaa.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com