Monday 3 November 2014





Benki ya NMB leo imevunja historia ya miaka ya nyuma kwenye bonanza lilifanyika leo kwenye viwanja vya Education ambapo kulikuwa na mashindano ya Mpira wa miguu kwa kina dada na pia mpira wa mguu kwa wavulana kama kawaida,Bonanza lililohudhuriwa na wanafunzi zaidi ya elfu 8 waliomiminika katika viwanja hivyo, Na pia baada ya mtanange huo kulikuwa na burudani ya wasanii mbali mbali akiwemo Recho ambao walifanya poa sana kwenye jukwaa hilo:














































0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com