Sunday 2 November 2014

Jeshi la Polisi kikosi cha wanamaji limekamata jahazi moja ambalo linatoka nchini Irani ambalo linadaiwa kuwa na shehena ya dawa za kulevya.

Akizungumza kuhusu tukio hilo kamanda wa kikosi hicho kamanda Mboje Kanga amesema walilikamata jahazi hilo baada ya kulitilia shaka na ndani yake wapo watu.


Kwa upande wake kamanda wa kikosi cha kuzuia na kupambana na  dawa za kuleya nchini Godfrey Nzowa amesema mapambano bado yanaendelea japo zipo changamoto nyingi na kuongeza kuwa robo  tatu ya vigogo wa dawa za kulevya wamekwisha kamatwa.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com