Saturday 4 October 2014

















































Mwenyekiti  wa BAWACHA ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kawe kupitia CHADEMA Halima 

Mdee akiwa katika 

maandamano akiwaongoza wanawake wenzake kuelekea Ikulu kumpelekea ujumbe Rais Jakaya 

Kikwete kwamba hasikubali 

kuweka saini Rasimu mpya iliyopitishwa juzi mjini Dodoma, maandamano hayo kabla hayajafika 

mbali walitawanywa na 

jeshi la polisi lililotumia maji ya kuwasha pamoja na kupigwa kwa waandamanaji na kumshika 

mwenyekiti huyo Halima 

Mdee pamoja na wafuasi wake na kupelekwa polisi Osterbay leo.

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com