Saturday 4 October 2014

Mambo ya leo hayoooooooooo!!!! haina kulala!



Kama ilivyo ada ya #DagaaDagaa Cultural Lounge, kwa mara nyingine tena imekuandalia burudani safi kabisa ambayo itakuacha mdomo wazi kwa mchongo utakao andamana na bumbuwazi leo hii katika "USIKU WA BUNYERO BUNYERO!".
Burudani hii sio ya kuhadithiwa kwa sauti za midomo yetu wala maandishi kama haya,unachotakiwa kufanya ni kufika hapo na kujionea mwenyewe kwa macho yako ili na wewe ushindwe kusimulia kama mimi hapa ninavyo chemsha.
Kumbuka pia kutakuwa na "Cocktail" kwa ajili ya warembo watakaofika hapo siku ya leo,Vinywaji vya Kutosha,Michemsho ya aina yote na cha muhimu kabisa cha kukumbuka katika hili tukio la leo ni kwamba "HAKUNA KIINGILIO!."
Yap!..kama unadhani umekosea kusoma haujakosea na macho yako yapo vizuri kabisa "BURUDANI" hii yote ni "BURE" kabisa,unachotakiwa kufanya wewe ni kufika tu! baaasi!.
#DagaaDagaa - "Hatufungi Mpaka Mteja Wa Mwisho Atakapo Ondoka".

hii itakuwa kizaazaa kwani jiji la Dar lazima litikisike Dagaa Dagaa kwa mgeni fika Sinza katika Viwanja vya sanaa pale shekilango ukifika tupa macho mbele utaona bango lililoandikwa Dagaa Dagaa yani
hapo ndipo penyeweeeeeeeeeeeee...! Tunajitahidi kukuelekeza maana pale kuna Bar nyingi ispokuwa babayao ni Dagaa Dagaa na ndio sehemu husika na Show ya USIKU WA X2 BUNYERO..! ni shidaaaaaaa..! Dont miss it..!

USIKOSE kutembelea Fan Page ya Face Book ya Dagaa Dagaa na ugonge like mtu wangu.

Pia unaweza kufollow on Instagram @dagaadagaa
 

0 comments:

Post a Comment

Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com