Saturday, 31 January 2015

Huku kwetu tuna utaratibu wa kuwapa watoto wetu majina tunayopenda, yapo majina ya watu maarufu kama viongozi, wanasoka, waigizaji na wengineo. Kuna hizi nchi ambacho wao wamepiga marufuku baadhi ya majina kupewa watoto, list ni hii hapa. New Zealand: Msajili wa Vizazi, Vifo na Ndoa nchi hii ameagiza baadhi ya majina kupigwa marufuku ikiwemo majina haya;Majesty, Queen Victoria, Lucifer na...
Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoyewa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba. Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo jana January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa...

Tuesday, 20 January 2015

Inserting music onto a web page is relatively easy these days. In the past, multiple tags had to be used because browsers did not have a uniform standard for embedded media files. However, we're happy to announce that this is a problem of the past, and you will now have a much easier time than webmasters of the past. Advertise on Tizag.com html - embed Music is inserted onto a web page with...

Monday, 19 January 2015

Angalia herufi ya kwanza ya jina lako ujue tabia yako A- mcheshi B- mtembezi C- mkosaji D- msema kweli E- mgomvi F- mgombanishi G- mcha mungu H- mchapa kazi I- mgumu kuelewa J- anapenda ngono K- m'bishi L- anapenda kujua mambo M- hodari na mzuri N- kicheche O- mtulivu P- mjanja Q- mvivu R- mzuri na mtundu chumbani S- msaliti T- anajua kunyenyekea U- msafi V- anapenda starehe...
So it is not possible to verify their identities - or whether the images had been taken from other sites By LAURIE HANNA FOR MAILONLINE PUBLISHED: 16:03 GMT, 19 January 2015 | UPDATED: 20:58 GMT, 19 January 2015 Lazing by pools in blazing sunshine, sipping champagne, showing off their eye-wateringly expensive watches and posing by gold-plated supercars, these young...
Design by GG greggy| Blogger Theme by greggy - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com